Umechaguliwa round ipi ? Mbona round ya tatu bado ?ingia kwenye list ya tcu angalia kama jina lako linetokea kwenye multiple selection katika hawamu uliyochaguliwa.Habari wanajf
Niliomba vyuo vinne kwa first round nikakosa vyote,second round nikakosa pia kwa vyuo vilivyotoa majina mapema na wakaniambia niombe tena third round nikafanya HVO, Mungu ni mwema Leo wametoa NIT nikaingia kwenye account yangu nikakuta wamenichagu ..
Issue ni kwamba wananiambia nithibitishe ilihali nimechaguliwa na chuo kimoja na hzo code za TCU cjatumiwa wakati huo third round nishaapply udsm,Mzumbe na ardhi..... Naomba msaada wa mawazo tafadhali
Kwenye list ya multiple sipo.... Nmechaguliwa chuo kimoja tu.. Lakin wananiambia nithibitisheUmechaguliwa round ipi ? Mbona round ya tatu bado ?ingia kwenye list ya tcu angalia kama jina lako linetokea kwenye multiple selection katika hawamu uliyochaguliwa.
mzee tulia siyo wewe tu hata mimi niliomba round one UDOM nikakosa, raundi nikaombA mzumbe na udom, juzi mzumbe nimepata chuo kimoja nimechaguliwa ila bado nimeambiwa na mzumbe kwa sms kuwa nitatumiwa code na Tcu ili niconfirm lakini mpaka leo ni kimya na siyo sisi tu..so tutulize mshono tusubiri ingawa baadhi ya vyuo watu wa usajili wanawapigia cm waliochaguliwa na kuwauliza kama wanakwenda kwao kwa ufupi wanathibitisha kwa simu...so kama huwezi kuvuta subira basi tafuta namba za chuo ulichochaguliwa uwasiliane nao wakupe mwongozo..naamini umenisoma mkuu.Kwenye list ya multiple sipo.... Nmechaguliwa chuo kimoja tu.. Lakin wananiambia nithibitishe
Niliwapgia wakanambia nisubir code za TCUmzee tulia siyo wewe tu hata mimi niliomba round one UDOM nikakosa, raundi nikaombA mzumbe na udom, juzi mzumbe nimepata chuo kimoja nimechaguliwa ila bado nimeambiwa na mzumbe kwa sms kuwa nitatumiwa code na Tcu ili niconfirm lakini mpaka leo ni kimya na siyo sisi tu..so tutulize mshono tusubiri ingawa baadhi ya vyuo watu wa usajili wanawapigia cm waliochaguliwa na kuwauliza kama wanakwenda kwao kwa ufupi wanathibitisha kwa simu...so kama huwezi kuvuta subira basi tafuta namba za chuo ulichochaguliwa uwasiliane nao wakupe mwongozo..naamini umenisoma mkuu.
basi tuwe wapole na mimi nimepata mzumbe wakati nimeshaomba raund 3 so nasubiria tu nione mwisho wake.Niliwapgia wakanambia nisubir code za TCU
Uswahilin Mabibo Chumba Shilling ngap?Karibun NIT madogo....next 2 years to come, itakuwa university kwan itapandishwa hadhi kutoka kuwa INSTITUTE hivyo basi hata msuli umechange pia........... karibun Sana uswahilini mabibo!!!!
Uswahilini mabibo,w watu wengi wanakaa hosteli za nje ni kama 250k_300k, room nzuri 50k_65k,,,,,,japo kuna room za 40k lkn ndio zileeeeee.......!!!! Karibu sahara, msikitini , relini, makutano, Mabibo mwisho, sokoni,.....ndio maeneo ya students hayo!!!!!Uswahilin Mabibo Chumba Shilling ngap?
Poa..hyo 250k kwa mwez au??Uswahilini mabibo,w watu wengi wanakaa hosteli za nje ni kama 250k_300k, room nzuri 50k_65k,,,,,,japo kuna room za 40k lkn ndio zileeeeee.......!!!! Karibu sahara, msikitini , relini, makutano, Mabibo mwisho, sokoni,.....ndio maeneo ya students hayo!!!!!
Sio ww tu.... Me first round skupat chuo ht kimoj ila second round nimechaguliw udom mzumbe na jordan lkn la kushangaz, tcu walivyotoa mijin ya multiple selection langu ckulion....yn nipo tu sielew nifanyejHabari wanajf
Niliomba vyuo vinne kwa first round nikakosa vyote,second round nikakosa pia kwa vyuo vilivyotoa majina mapema na wakaniambia niombe tena third round nikafanya HVO, Mungu ni mwema Leo wametoa NIT nikaingia kwenye account yangu nikakuta wamenichagu ..
Issue ni kwamba wananiambia nithibitishe ilihali nimechaguliwa na chuo kimoja na hzo code za TCU cjatumiwa wakati huo third round nishaapply udsm,Mzumbe na ardhi..... Naomba msaada wa mawazo tafadhali
Kwa semister...... pia kuna hosteli za chuo, lakini lazima uombe mapema sana kwa official letter kupitia Dean of students(mlezi wa wanafunzi)Poa..hyo 250k kwa mwez au??
Sawa..MkuuKwa semister...... pia kuna hosteli za chuo, lakini lazima uombe mapema sana kwa official letter kupitia Dean of students(mlezi wa wanafunzi)
Mim binafsi sijui lkn tar 31 mwez huu usajili utaanza rasmi pale camps, after two weeks masomo yanaanza!!!!Sawa..Mkuu
Tareh ya Kuanza semister ya kwanza inaweza ikawa Lin??