simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 930
- 1,024
ila mm nadhani haya mafumanizi haya yanategeshwaAfter fumanizi tu hapo hapo wanapigwa pingu za maisha [emoji23][emoji23]
Ili waepuke zinaa
Faida yake haina gharama[emoji23]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ila mm nadhani haya mafumanizi haya yanategeshwa
sawa mkubwa';,:,,,",,;':,??"' Chora chora ata izo alama basi kwenye maandishi yako[emoji41]
hahahahahahaha nimecheka hapa hadi bahamedi kaniangalia kwa jicho la aibuNilijua mkeka wa kubet.
Daah Magu vyuma vimekaza hadi nawaza mikeka tu
asante mkuuuKabla ya kuingilia kuwa ndoa hiyo inaswihi au la, inabidi labda tutazame ni kwanini watoto wazini kabla ya kushitukiziwa na kuozwa. Tunaona huenda sababu kubwa ikawa ni wazazi wenye kuweka vikwazo juu ya hilo pale kijana anapokuja kutaka kuposa akakataliwa na hivyo kuwafanya watoroshane na wakae katika hali ya kuzini hadi kuzaa watoto. Sababu nyingine inawezekana ikawa ni gharama ya ndoa zetu ambao imepanda kwa kiwango cha kushtusha. Inabidi wazazi wafanye mikakati ya kuona kwamba matatizo hayo yametatuliwa kwa njia nzuri kabisa. Na sababu nyingine ambayo ni kubwa, ni mmomonyoko wa maadili katika jamii zetu kutokana na kukosekana kwa malezi bora ya Kiislamu katika nyumba nyingi za Waislamu.
Ama ndoa ya Kiislamu inaswihi ikiwa yatapatikana masharti yafuatayo:
1. Idhini ya kijana anayeoa kuwa amekubali kwa ndoa hiyo kwa hiyari yake. Na vile vile kukubali kwa msichana kuolewa.
2. Kuwe na idhini ya walii (baba au mlezi) wa msichana kuhusu ndoa hiyo.
3. Kuwe katika ndoa mashahidi wawili waadilifu.
4. Kusomwe khutba ya kuozesha.
Na ikiwa kijana na msichana wamekaa pamoja na wakawa wamezini kwa muda mfupi au mrefu inabidi kuwe na sharti jingine la kuwetanganisha wawili hawa kwa muda ili kupata uhakika kamamsichana ana mimba au la. Na katika kipindi hicho wanatakiwa vijana hao warudi kwa Allaah Aliyetukuka kwa kuomba msamaha, kujuta kwa waliyoyafanya, kutia azma ya kutorudia, kuacha maasiya haya na kufanya mema mengi.
Ikiwa hayo yatapatikana basi ndoa itaswihi. Hata hivyo, wanafaa wakumbushwe kuwa wale watoto waliozaliwa nje ya ndoa si watoto wa baba bali ni wa mama. Watoto hao hawawezi kurithiana na baba, ilhali wanaweza kurithiana na mama.
C&P from Alhidaaya
[emoji120]asante mkuuu
sasa ndugu unakuta mtu umelala na mwanamke kama wiki hiv alafu wanakuja shekh na wazazi wake kuwafungisha ndoa sasa hapa nitaepukaje vipKabla ya kuingilia kuwa ndoa hiyo inaswihi au la, inabidi labda tutazame ni kwanini watoto wazini kabla ya kushitukiziwa na kuozwa. Tunaona huenda sababu kubwa ikawa ni wazazi wenye kuweka vikwazo juu ya hilo pale kijana anapokuja kutaka kuposa akakataliwa na hivyo kuwafanya watoroshane na wakae katika hali ya kuzini hadi kuzaa watoto. Sababu nyingine inawezekana ikawa ni gharama ya ndoa zetu ambao imepanda kwa kiwango cha kushtusha. Inabidi wazazi wafanye mikakati ya kuona kwamba matatizo hayo yametatuliwa kwa njia nzuri kabisa. Na sababu nyingine ambayo ni kubwa, ni mmomonyoko wa maadili katika jamii zetu kutokana na kukosekana kwa malezi bora ya Kiislamu katika nyumba nyingi za Waislamu.
Ama ndoa ya Kiislamu inaswihi ikiwa yatapatikana masharti yafuatayo:
1. Idhini ya kijana anayeoa kuwa amekubali kwa ndoa hiyo kwa hiyari yake. Na vile vile kukubali kwa msichana kuolewa.
2. Kuwe na idhini ya walii (baba au mlezi) wa msichana kuhusu ndoa hiyo.
3. Kuwe katika ndoa mashahidi wawili waadilifu.
4. Kusomwe khutba ya kuozesha.
Na ikiwa kijana na msichana wamekaa pamoja na wakawa wamezini kwa muda mfupi au mrefu inabidi kuwe na sharti jingine la kuwetanganisha wawili hawa kwa muda ili kupata uhakika kamamsichana ana mimba au la. Na katika kipindi hicho wanatakiwa vijana hao warudi kwa Allaah Aliyetukuka kwa kuomba msamaha, kujuta kwa waliyoyafanya, kutia azma ya kutorudia, kuacha maasiya haya na kufanya mema mengi.
Ikiwa hayo yatapatikana basi ndoa itaswihi. Hata hivyo, wanafaa wakumbushwe kuwa wale watoto waliozaliwa nje ya ndoa si watoto wa baba bali ni wa mama. Watoto hao hawawezi kurithiana na baba, ilhali wanaweza kurithiana na mama.
C&P from Alhidaaya
Sasa huo ndo mmomonyoko wa maadili kusema ukweli sikuhz dunia imetuzidsasa ndugu unakuta mtu umelala na mwanamke kama wiki hiv alafu wanakuja shekh na wazazi wake kuwafungisha ndoa sasa hapa nitaepukaje vip
naogopa yanikute maana mwenendo wangu mhh yatanikuataSasa huo ndo mmomonyoko wa maadili kusema ukweli sikuhz dunia imetuzid
Hutakiwi kufanya hvyo kamwe ndo maana wenzio waja bila taarifa kukuozesha[emoji23] [emoji23]
Fata sheria na taratibu
Mkuu ukishajijua kwamba unachokifany haupo sahihi bac huo ndo mwanzo wa kubadilikanaogopa yanikute maana mwenendo wangu mhh yatanikuata