Msaada kuhusu NACTE application for academic year 2019/2020

Msaada kuhusu NACTE application for academic year 2019/2020

damy P

Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
23
Reaction score
4
Ninatarajia kuomba Diploma in Clinical Medicine katika vyuo vifuatavyo: Lugalo Military Medical College, Kibaha College of Health and Allied Science, AMO KCMC.

Ufaulu wangu ni kama ifuatavyo O-level results 2012: Physics C,Chemistry C,Biology C, B/maths C, English C. A-level results 2015: Physics C,Chemisty C, Biology C, Bam C, GS D.

Waungwana kwa matokeo hayo na muda niliomaliza shule ninaweza pata vyuo hivyo?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom