Msaada kuhusu muwasho wa ngozi

Msaada kuhusu muwasho wa ngozi

godlove5

Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
32
Reaction score
13
Natumaini mpo salama wapendwa naomba msahada wakujua dawa ya matibabu ya muwasho wa ngozi asa pale mtu anapokuwa katika hari ya mwili kuisi joto au mshtuko wowote uwa mwili uanza kuwasha sana sana kichwa na usoni kwamuda wa dk4 ndo iyo ali inatulia samahan naomba ushauli au dawa gani yakutumia
 
BAKITA wawe wanapitpita humu JF kuangalia afya zetu za kutumia Kiswahili.Nenda hospitali ufanyiwe vipimo na upate tiba.
 
Hacha kusema hivyo huna hushauri muzuri .humenihudhi Sana.
Dogo pole kwa kuumwa, nenda hosipitali upate ushauri wa kitaalam.

Nje ya mada; Unapopata mtu wa kukuambia mapungufu yako mheshimu. Huyo mdau hapo juu amekuonesha wazi umeboronga kiuandishi, kama wewe ni 'mutu ya Congo, baeleze bakusaidie'
Unaharibu kiswahili.
 
Nimeandika sahii kabsa sijaona kama sijaeleweka brother
 
Dogo pole kwa kuumwa, nenda hosipitali upate ushauri wa kitaalam.

Nje ya mada; Unapopata mtu wa kukuambia mapungufu yako mheshimu. Huyo mdau hapo juu amekuonesha wazi umeboronga kiuandishi, kama wewe ni 'mutu ya Congo, baeleze bakusaidie'
Unaharibu kiswahili.

Asante
 
Back
Top Bottom