Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 793
- 2,303
Labda miti itakusaidiaNilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika.
Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture ilikuwa iko poa sana ila Nikakautwa na uric aacid nyingi mno ya 17mgll. Doctor akasema uric acid hio ndio inayosababisha muwasho mkali huo.
So nikapewa dawa ya kutumia ikiwemo na za mwezi mzima. Leo ni siku ya 18 ila bado muwasho ni mkali na haswa mida ya usiku napata shida sana kuwashwa na kujikuna. Nawashwa sana maenep ya mapajani, kwenye pumbu, ubavuni na miguuni. Muwasho huu hauleti vipele vyovyote na kama vikitokea ni vidogo sanaaa.
Imebidi ninunue vidonge vya fabagentin na tube clobetasol baada ya kugoogle ila leo ni siku nne ila bado hali ni kali sana.
Najua bado sijamaliza dawa wakuu ila angalau kwa muda wote huu muwasho ungekuwa umepungua, so nisaidieni nifanye nini wakuu, nisubirie dozi iishe au kuna namna naweza pata medicatiln ya kunitoa katika muwasho mkali huu.
Kuna sindano inachomwa moja tu kila baada ya miezi mitatu, ila siijui ni ipi, nikipata contact za huyu jama iko nje ya nchi nta kupa tu, alisumbuliwa na huo ugonjwa kwa miaka zaidi ya mitano ila kapona kabisa.Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika.
Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture ilikuwa iko poa sana ila Nikakautwa na uric aacid nyingi mno ya 17mgll. Doctor akasema uric acid hio ndio inayosababisha muwasho mkali huo.
So nikapewa dawa ya kutumia ikiwemo na za mwezi mzima. Leo ni siku ya 18 ila bado muwasho ni mkali na haswa mida ya usiku napata shida sana kuwashwa na kujikuna. Nawashwa sana maenep ya mapajani, kwenye pumbu, ubavuni na miguuni. Muwasho huu hauleti vipele vyovyote na kama vikitokea ni vidogo sanaaa.
Imebidi ninunue vidonge vya fabagentin na tube clobetasol baada ya kugoogle na kuona zinasaidia kwa watu wenye muwasho mkali sanaa ambao hautibiki kirahis ila leo ni siku ya nne nimetumia ila bado hali ni kali sana.
Najua bado sijamaliza dawa wakuu ila angalau kwa muda wote huu muwasho ungekuwa umepungua, so nisaidieni nifanye nini wakuu, nisubirie dozi iishe au kuna namna naweza pata medicatiln ya kunitoa katika muwasho mkali huu.
Duuuuh mkuu si tusaidiane ndugu nimekutumia namba zangu dm kama ukimpata huyu mtu.Kuna sindano inachomwa moja tu kila baada ya miezi mitatu, ila siijui ni ipi, nikipata contact za huyu jama iko nje ya nchi nta kupa tu, alisumbuliwa na huo ugonjwa kwa miaka zaidi ya mitano ila kapona kabisa.
Ahsante bossLabda miti itakusaidia
Yaan ww unatakiwa upigwe miti kisawassawa kuoga miksa kuchemsha na kunywa fasta tu unakuwa sawa
Km unaamin kuhusu miti shamba tembelea kwa wamasai jamaa wana miti mingi sana
Boss hawa ni ma Dr wa hekaya na Riwaya
Inaelekea umeshapigwa Miti sana na una endelea kupigwa Miti.Labda miti itakusaidia
Yaan ww unatakiwa upigwe miti kisawassawa kuoga miksa kuchemsha na kunywa fasta tu unakuwa sawa
Km unaamin kuhusu miti shamba tembelea kwa wamasai jamaa wana miti mingi sana
Pole sanaInaelekea umeshapigwa Miti sana na una endelea kupigwa Miti.
Hili jukwaa vichaa siyo mahala pao.
Kwa upande wa uric acid... Tumia mwani na star anise asubuhi na jioni pia acha kabisa kula nyama nyekundu... Hamia kwenye nyama nyeupe ila siyo kitimoto.Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika.
Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture ilikuwa iko poa sana ila Nikakautwa na uric aacid nyingi mno ya 17mgll. Doctor akasema uric acid hio ndio inayosababisha muwasho mkali huo.
So nikapewa dawa ya kutumia ikiwemo na za mwezi mzima. Leo ni siku ya 18 ila bado muwasho ni mkali na haswa mida ya usiku napata shida sana kuwashwa na kujikuna. Nawashwa sana maenep ya mapajani, kwenye pumbu, ubavuni na miguuni. Muwasho huu hauleti vipele vyovyote na kama vikitokea ni vidogo sanaaa.
Imebidi ninunue vidonge vya fabagentin na tube clobetasol baada ya kugoogle na kuona zinasaidia kwa watu wenye muwasho mkali sanaa ambao hautibiki kirahis ila leo ni siku ya nne nimetumia ila bado hali ni kali sana.
Najua bado sijamaliza dawa wakuu ila angalau kwa muda wote huu muwasho ungekuwa umepungua, so nisaidieni nifanye nini wakuu, nisubirie dozi iishe au kuna namna naweza pata medicatiln ya kunitoa katika muwasho mkali huu.
Kitimoto pia ni nyama nyekundu mkuu.Kwa upande wa uric acid... Tumia mwani na star anise asubuhi na jioni pia acha kabisa kula nyama nyekundu... Hamia kwenye nyama nyeupe ila siyo kitimoto.
Ongeza portion ya mboga za majani na matunda katika kila sahani yako ya chakula. Punguza portion ya wanga katika sahani yako ya chakula.
Asante kwa elimu hii nzuri... ππΎππΎππΎππΎKitimoto pia ni nyama nyekundu mkuu.