Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Shukrani sana nduguMpaka naondoka MDH 2018 Data officer alikua akilipwa 500k,ila kuna activities nyingi sana pale..... yaani waeza tengeneza hadi one million per month,kikubwa kua vizuri tu na incharge wako na DDC,kila la kheri mkuu
Shukrani sanaNimekumbuka kabla sijahamia Taasisi/Shirika la Umma niliuliza kiwango cha mshahara kwa wadau wakanijibu ni Tsh1,525,000/= basi baada ya kuhamia nasoma mkataba naona ni Tsh1,350,000/= nilijisikia vibaya.
Nilipata furaha baada ya kuingiziwa posho Tsh150,000/= na Vocha Tsh50,000/= jumla Tsh200,000/=.
Mtoa mada huwezi kupata jibu sahihi hapa Jf.
Hiyo 1.35m ni take home auNimekumbuka kabla sijahamia Taasisi/Shirika la Umma niliuliza kiwango cha mshahara kwa wadau wakanijibu ni Tsh1,525,000/= basi baada ya kuhamia nasoma mkataba naona ni Tsh1,350,000/= nilijisikia vibaya.
Nilipata furaha baada ya kuingiziwa posho Tsh150,000/= na Vocha Tsh50,000/= jumla Tsh200,000/=.
Mtoa mada huwezi kupata jibu sahihi hapa Jf.
Leo watu wamepigiwa simu waende interview kama nawe ni mmoja wao hongera mtaalamHeshima kwenu wadau
Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara
Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
Shukrani sanaLeo watu wamepigiwa simu waende interview kama nawe ni mmoja wao hongera mtaalam
Watu wanaenda interviewJamani na mimi mniunganishe hizo kazi za data officer, hata kama mshahara ni laki 4.
Daah!! Sijui hua zinatangazwa wapiWatu wanaenda interview
🤣🤣🤣Mi nashaangaa pia kwa eti watu wanaenda inteviewDaah!! Sijui hua zinatangazwa wapi
Matapeli kivipi boss, Hawalipi kwa wakati au?Hiyo mdh si imejaa matapeli wakuu au?
Kwanini uliacha Boss?Mpaka naondoka MDH 2018 Data officer alikua akilipwa 500k,ila kuna activities nyingi sana pale..... yaani waeza tengeneza hadi one million per month,kikubwa kua vizuri tu na incharge wako na DDC,kila la kheri mkuu
Ushapata jibu la uhakika boss, Na mimi nilitaka kujua ilo?Heshima kwenu wadau
Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara
Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
Umepita interview?Ushapata jibu la uhakika boss, Na mimi nilitaka kujua ilo?
Unajua kuhusu swali la juu ilo?Umepita interview?