Msaada kuhusu Modem

konrad

Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
85
Reaction score
13
Naomba mnisaidie Nina mordem inatumia laini ya voda tu
 
Naomba mnisaidie Nina mordem inatumia laini ya voda tu
mkuu konrad,ili uweze kusaidiwa tatizo lako,ni vyema ukawa unaweka maelezo ya kutosha ya hicho kifaa/tatizo lako.
Ni aina gani ya modem/model gani?
 
Maelezo hayatoshelezi na unataka tukusaidie nin?
 
Dah sasa hapa huezi saidiwa maana maelezo nusunusu,,weka brand ya modern,,IME no,pamoja na model no...
 
Jamani baadhi ya vitu muhimu niweka hapo aombeni msaada wenu basi
 
May I know please i am ignorant of it.
 
Naomba ili itumie laini yoyote maana inatumia ya voda tu
 
Sio rahis hvy ndug, jarb kutumia hyo application ya 3g (join air) kama itafaa, ila zipo pia program za ku unlock labd weny msaada wanaweza wakakusaidia kama wanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…