MSAADA KUHUSU MKOPO ELIMU YA JUU

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,245
Jamani kwa anaye jua ni lini mkopo huwa unafika chuo kwa mtu ambaye mkopo wake umeenda chuo kingine maana uku maisha ni utata chuo pasi ndefu itaniua
 
Mbona unauliza tu swali. Hujasema Juhudi ulizofanya, kwenda board kufanya transfer, kumfuatilia loan officer wenu
 
Nimemfuata loan officer anasema majina kapekeka bodi nao bodi wanasema niende loan officer xa apo ndo sielewi
 
Jamani kwa anaye jua ni lini mkopo huwa unafika chuo kwa mtu ambaye mkopo wake umeenda chuo kingine maana uku maisha ni utata chuo pasi ndefu itaniua
Kaonane na uongozi wa wanafunzi wa chuo chako kwa taarifa rasmi.
 
Semista ya pili au unaweza usifike mwka mzma kama hutafatiliaa
 
Dt
Kaonane na uongozi wa wanafunzi wa chuo chako kwa taarifa rasmi.
Du tuko wengi wanafunzi kama 68 toka awamu ya kwanza adi ya nne nimejaribu kwenda wanasema endeleeni kusubili vyuo vingipe wamepata ni mzumbe mbeya campus
 
Poleni sana.. Huwa inachalewa kiukweli, sifa uvumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…