Habarini umu ndani, nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Naomba nijuzwe je ikiwa marehemu ameacha watoto wawili na baada ya msiba ikafahamika alikuwaga na mtoto mwengne alieza nje ya ndoa, je mtoto uyo wa nje ya ndoa ataesabika katika kurithi?
uyo ni damu yenu ila mnaweza mpa ata asimilia 5 ya mali kuliko kuacha kumpa na kumtenga
-kisheria uyo atambuliki kabsa ata angekua ametambulishwa wanao rithi ni watu wa familia tu ila fanyeni kiundugu tu msifike mbali