Black ma colour JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 733 Reaction score 664 Feb 22, 2022 #1 Habari za leo wana JF. Naomba msaada wa maelekezo/maelezo kuhusu mfuko wa UTTS. Awali ya yote nimejaribu kusoma kwenye tovuti yào ya utts nikiri sikuweza kupata maarifa yakutosha. Mwenye uelewa kuhusu hii mifuko anisaidie. Ushauri napokea pia Thanks
Habari za leo wana JF. Naomba msaada wa maelekezo/maelezo kuhusu mfuko wa UTTS. Awali ya yote nimejaribu kusoma kwenye tovuti yào ya utts nikiri sikuweza kupata maarifa yakutosha. Mwenye uelewa kuhusu hii mifuko anisaidie. Ushauri napokea pia Thanks
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,967 Reaction score 194,040 Feb 22, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...