Hamfrey Lawrent Member Joined Nov 11, 2018 Posts 7 Reaction score 3 Nov 16, 2018 #1 Msaada: Nataka kujua kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni kwa VISA MasterCard je hizo bidhaa unatumiwa kwa njia gani mpaka unapata mzigo wako?
Msaada: Nataka kujua kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni kwa VISA MasterCard je hizo bidhaa unatumiwa kwa njia gani mpaka unapata mzigo wako?
BurtonSat_Shop Member Joined Dec 20, 2019 Posts 60 Reaction score 95 Mar 22, 2020 #2 Naomba kujua kukurefund katika Aliexpress inachukua muda gani? Pesa kukurudia?? Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua kukurefund katika Aliexpress inachukua muda gani? Pesa kukurudia?? Sent using Jamii Forums mobile app