M mwana mpendwa Senior Member Joined Oct 6, 2012 Posts 171 Reaction score 21 Mar 1, 2014 #1 Wakuu heshima kwenu. Naomba kujuzwa MTU anapoanza Nazi katika ile miezi mitatu ya probation, Je anapaswa kukatwa nini? Kodi, NSSF au hakatwi kabisa?
Wakuu heshima kwenu. Naomba kujuzwa MTU anapoanza Nazi katika ile miezi mitatu ya probation, Je anapaswa kukatwa nini? Kodi, NSSF au hakatwi kabisa?
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,320 Reaction score 6,660 Mar 1, 2014 #2 probation haukatwi kitu,ukiajiriwa ndio makato yanaanza.
V vurumai Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 178 Reaction score 36 Mar 2, 2014 #3 Cjui kuhusu private ila serikalini wanakata vyote.
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,508 Reaction score 376 Mar 2, 2014 #4 Unakatwa kodi kama kawaida Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
B bumba Member Joined Feb 13, 2014 Posts 53 Reaction score 3 Mar 2, 2014 #5 Serikalini hakuna cha probation. Makato yanaanza tu mfanyakazi ukiishaingia kwenye payrol ya Serikali yaani ukiishapata check number na mshahara wako kuanza kuingia kwenye akaunti yako.
Serikalini hakuna cha probation. Makato yanaanza tu mfanyakazi ukiishaingia kwenye payrol ya Serikali yaani ukiishapata check number na mshahara wako kuanza kuingia kwenye akaunti yako.