Msaada: Kuhusu mahari na ndoa ya kimila

dada dori

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
233
Reaction score
93
Habari wanajukwaa!:
Naomba msaada kuhusu ndoa ya kimila.
Je kutolewa mahari(posa)ni ndoa ya kimila?
Je mnaruhusiwa kukutana kimwili baada ya kutolewa mahari au kwa dini zetu hairuhusiwi?
Msaada wenu naomba juu ya hili suala.
 
Kama una dini...tendo la ndoa ni baada ya ndoa tu.....kanisani au kwa sheikh
 
Ndoa ya kimila haina shahidi wa MUNGU wala shahidi wa Serikali lakini inatambulika kikatiba
 
Ukilipiwa mahari wewe ni halali ya aliyekulipia. Kama u~mkiristo rejea ndoa ya Rebeba ktk kitabu cha mwanzo nayo ukiichunguza saanaa iko kama ni ya kimila.
 
Ndoa ya kimila haina shahidi wa MUNGU wala shahidi wa Serikali lakini inatambulika kikatiba
Shaidi wa Mungu ni nani? hivi Mungu huyuhuyu ninayemjuwa mimi anahitaji shahidi? kama hujui kitu ni heri ukae kimya tu utahesabiwa hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…