T Tmatimba Member Joined Oct 8, 2013 Posts 66 Reaction score 10 Mar 25, 2014 #1 Shukrani kwenu, Kwa yule anayefahamu naomba msaada, Mfanyakazi aliyekuwa level ya u-clinical oficer anastahili kulipwa kiasi gani cha pensheni.
Shukrani kwenu, Kwa yule anayefahamu naomba msaada, Mfanyakazi aliyekuwa level ya u-clinical oficer anastahili kulipwa kiasi gani cha pensheni.
B buso Member Joined Mar 8, 2014 Posts 54 Reaction score 22 Mar 25, 2014 #2 Tmatimba said: Shukrani kwenu, Kwa yule anayefahamu naomba msaada, Mfanyakazi aliyekuwa level ya u-clinical oficer anastahili kulipwa kiasi gani cha pensheni. Click to expand... be specific clinical officer ngazi ipi 1.II.Senior.principal I AU II halafu muda aliofanya kazi na aina ya mfuko wa pensheni anaochangia
Tmatimba said: Shukrani kwenu, Kwa yule anayefahamu naomba msaada, Mfanyakazi aliyekuwa level ya u-clinical oficer anastahili kulipwa kiasi gani cha pensheni. Click to expand... be specific clinical officer ngazi ipi 1.II.Senior.principal I AU II halafu muda aliofanya kazi na aina ya mfuko wa pensheni anaochangia
T Tmatimba Member Joined Oct 8, 2013 Posts 66 Reaction score 10 Mar 25, 2014 Thread starter #3 Ahsante mkuu, Amefanya kazi sio chini ya miaka 30 mpaka amefikia kiwango cha kustaafu serikalini, Level yake ninayofahamu ni clinical officer yaani Mganga, mfuko wa pensheni ni PPF
Ahsante mkuu, Amefanya kazi sio chini ya miaka 30 mpaka amefikia kiwango cha kustaafu serikalini, Level yake ninayofahamu ni clinical officer yaani Mganga, mfuko wa pensheni ni PPF