Msaada kuhusu m-pesa...

Msaada kuhusu m-pesa...

LIGEDENGE 1

Senior Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
184
Reaction score
29
NATAKA KUANZISHA BIASHARA YA M-PESA...ILA NAOMBA KUJUA VITU VIFUATAVYO; 1.WAPI NAWEZA KUTENGENEZEWA LINE YA M.PESA KWA JINA LANGU NA GHARAMA YAKE NI SH.NGAPI?. 2. FAIDA YA M.PESA INAPATIKANAJE?. 3. VP KUHUSU HASARA YAKE? nawasilisha.
 
ina lipa kaka komaaa kamtaji ka 2M kanatosha kuzungusha
 
@LIGE; Line ya Wakala wa MPesa yenye jina lako unaweza kupata ofisi za vodashop au super dealers, kiutaratibu ukipeleka maombi yako itakubidi usubiri kwa miezi isiyopungua mitatu ndio upate line yako, Ni bure kabisa. Faida ya biashara hii ni commision kulingana na wingi wa miamala unayofanya, kadri unavyohudumia wateja wengi ndio faida inakua kubwa zaidi. Hasara yaweza kutokea kutokana na kukosekana umakini ktk huduma, wizi, utapeli n.k. Ila ni biashara nzuri sana na inalipa mno ukiwa sehemu yenye wateja wengi.
 
@lige; line ya wakala wa mpesa yenye jina lako unaweza kupata ofisi za vodashop au super dealers, kiutaratibu ukipeleka maombi yako itakubidi usubiri kwa miezi isiyopungua mitatu ndio upate line yako, ni bure kabisa. Faida ya biashara hii ni commision kulingana na wingi wa miamala unayofanya, kadri unavyohudumia wateja wengi ndio faida inakua kubwa zaidi. Hasara yaweza kutokea kutokana na kukosekana umakini ktk huduma, wizi, utapeli n.k. Ila ni biashara nzuri sana na inalipa mno ukiwa sehemu yenye wateja wengi.

kumbe laini ya m.pesa wamatoa bure? Lakn kuna watu wanauza mitaani kuanzia laki moja na nusu hadi laki tatu. Na kwanini inachukua muda mrefu hivyo?
 
Tanya mambo ya halali ndugu.Wakati mwingine njia za mkato huleta majanga baadae
 
Kupata til nafikiri wiki tatu tu sidhani kama miezi mitatu na mtaji wa kuanzia ni 1 mill ila unaweza kuongeza kiwango chochote kuzungusha mtaji wako faida inatokana na muamala wako unaoto mzunguko ukiwa mkubwa na faida kubwa haina kukopwa hiyo kama biashara zingie
 
na kutapeliwa kumo! kunam2 alisha lipa nw mwez miez 6 nt richable,nenda kwa makin hasa ukilipa pesa uwe na vielelezo! by the way nw dayz voda wenyewe hawaprovedy hyo huduma,kuna wa2 wanaitwa superdealers hao ndo wanakuunganisha so ukicheza unakula kwako, ila n busness nzr ukiisimamia
 
Kupata line ya M-Pesa (TILL) unaweza muona superdealer,wakala mkuu kama unamfahamu au kama uko dar-es Salaam unaweza ukafika pale makao makuu yao kitengo cha mawakala ukiwa na copy ya kitambulisho chako,copy ya TIN ya biashara na copy ya lessen ya biashara.

Muda wa kusubiri sio chini ya wiki tatu na sio zaidi ya wiki tatu.

TILL inatolewa bure na sio kwa kulipia.

Ukiuziwa TILL utapatiwa iliyokuwa ibatumika. Ambayo baadaye inaweza kuletea matatizo.

Faida inategemea na mtaji wako na eneo ulilopo. Faida unaipata kwa commission. Kila transaction inakiwango chake. So mwisho wa mwezi zijumlishwa na kupatiwa commission yako kutoka head office au wakala wako mkuu.

Hasara yake inategemea na umakini wa atakayekuwa anakusaidia kufanya hiyo shughuli. Kuna wizi mkubwa kwa upande wa mawakala unaoshamiri kila siku so ni kuwa makini na kila mteja atakaye kuja.

Kuwa makini kurecord kila muamala unaoufanya ili kuweka records.

Ni biashara nzuri ukiwa makini,ukifata sheria zake na ukiwa na mtaji mkubwa na kwenye eneo lenye watu wengi.
 
Kupata til nafikiri wiki tatu tu sidhani kama miezi mitatu na mtaji wa kuanzia ni 1 mill ila unaweza kuongeza kiwango chochote kuzungusha mtaji wako faida inatokana na muamala wako unaoto mzunguko ukiwa mkubwa na faida kubwa haina kukopwa hiyo kama biashara zingie

nashukuru kwa ushauri
 
Kupata line ya M-Pesa (TILL) unaweza muona superdealer,wakala mkuu kama unamfahamu au kama uko dar-es Salaam unaweza ukafika pale makao makuu yao kitengo cha mawakala ukiwa na copy ya kitambulisho chako,copy ya TIN ya biashara na copy ya lessen ya biashara.

Muda wa kusubiri sio chini ya wiki tatu na sio zaidi ya wiki tatu.

TILL inatolewa bure na sio kwa kulipia.

Ukiuziwa TILL utapatiwa iliyokuwa ibatumika. Ambayo baadaye inaweza kuletea matatizo.

Faida inategemea na mtaji wako na eneo ulilopo. Faida unaipata kwa commission. Kila transaction inakiwango chake. So mwisho wa mwezi zijumlishwa na kupatiwa commission yako kutoka head office au wakala wako mkuu.

Hasara yake inategemea na umakini wa atakayekuwa anakusaidia kufanya hiyo shughuli. Kuna wizi mkubwa kwa upande wa mawakala unaoshamiri kila siku so ni kuwa makini na kila mteja atakaye kuja.

Kuwa makini kurecord kila muamala unaoufanya ili kuweka records.

Ni biashara nzuri ukiwa makini,thanks a lot
 
Ni PM nitakupa mtu akusaidie faster ni mhasibu wa MPesa ni mwana nimesoma nae chuo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom