kwenye list sikuepo ila jana CRDB walinitext wakanitell mamboi ya booom ndo leo nimeingia katika akaunt yangu nimeandikiwa hizo pesa ila ingieni na kwenu maybe wametoa iula hawajatangaza
Fungua crdb kama unataka upate boom kwa wakati...kama utakua bank nyingine pesa yako itachelewa...nimesoma na watu walikua na nmb ,pesa zao huingia karbia week baada ya watu wa crdb kupata boom lao.

Kwa sasa mambo yamebadilika kidogo .....km ipo tofaut ya siku bas ni moja tuu.....japo sio constant ....kuna boom moja walianza kupata nmb halaf baadae crdb
Poa poa, ila sioni haja ya kuwa na acount bank mbili tofauti na sio za biashara. Gharama za kuilipia crdb kwa mwaka, ndio zitatumika kunisave hiyo wiki 1,2,3....
Shukrani wadau. Mbarikiwe.