Mkuu hili jambo lako ni rahisi sana kila line kwa sasa bila kujali ni mtandao gani inakuja na PIN na unaweza zibadilisha lakini lazima iwe na Pin ukizima ukiwasha lazima ihiitaji Pin!
Sasa kwa wewe chomeka moderm kwenye kifaa chako lazima itaonesha au ku detect kama imesoma na itahitaji ku unlock na itakwambia weka PIN na utaweka hizo PIN
Kama ni kwenye Computer na haijadetect lakini umeweka basi nenda upande wa kulia kwenye zile icon bonyeza pale lazima utaona inasoma line uki click pale ile line itakuletea un lock your sim card na unaweka PIN zako basi!