Msaada kuhusu laptops

Msaada kuhusu laptops

Pung'o boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
685
Reaction score
305
Leo nilikua napitapita kwenye maduka yanayouza laptop nataka kununua laptop. Ila katika pita pita nimekutana na haya maneno kuna laptop nyingine zinatumia WINDOW 8 system nyingine zinatumia DOS system. Kwa wataalamu wa haya mambo ipi ni nzuri?
 
Back
Top Bottom