Msaada kuhusu laptop za vodacom.

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
539
208
Naomba msaada kujua ubora wa hizi laptop zinazouzwa kwenye vodashops hapa nchini, nina mpango wa kununua lakini mimi si mtaalamu wa kujua ubora wa vifaa hivi.
 
kama kuna mtu anaweza kukuambia ubora wa laptop[any laptop].. lakini hawezi kukumbia izo unazotaka wewe kwasababu hazijui au hajawahi kuziona, hana details zozote. Utamsaidiaje?
 
Naomba msaada kujua ubora wa hizi laptop zinazouzwa kwenye vodashops hapa nchini, nina mpango wa kununua lakini mimi si mtaalamu wa kujua ubora wa vifaa hivi.
Kwa ufahamu wangu wa mwaka 2008 voda waliingia mkataba na Dell ili komputer inapotengezwa iwekewe kitu fulani (mimi siyo IT) cha Vodacom, na mimi ninayo computer ya hivyo (Ya vodacom) toka kipindi hicho mpaka leo. Kwa ufupi ni product za uhakika, ni new brand computer, na ni special order for vodacom only. Na inatumika kwa matumizi ya aina zote pia ni heavy duty!!
 
kama kuna mtu anaweza kukuambia ubora wa laptop[any laptop].. lakini hawezi kukumbia izo unazotaka wewe kwasababu hazijui au hajawahi kuziona, hana details zozote. Utamsaidiaje?
sijakuelewa vizuri ndugu, lakini nimeziona ni za kampuni ya samsung.
 
kama kuna mtu anaweza kukuambia ubora wa laptop[any laptop].. lakini hawezi kukumbia izo unazotaka wewe kwasababu hazijui au hajawahi kuziona, hana details zozote. Utamsaidiaje?

Labda inabidi tutumie ujanja wa sheikh yahya.

Maana kama wanauza laptop zenye brand basi zina model na kama zina model model basi itakusaiia kujua minimun specs na features zake. So taja hizo brand na model wanzouza. From there then tafuta specs zake mtandaoni au wadau watakusaidia kukuelewesha

Otheriwise labda kama wanauza clone laptop teh teh teh teh
 
sijakuelewa vizuri ndugu, lakini nimeziona ni za kampuni ya samsung.

nilichokuwa namaanisha ni kwamba, hujatoa detail za kutosha.. only a psychic would know, mfanyakazi wa voda amabae pia atakuwa anafanya biashara. sijui ushanielewa mkuu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom