Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 407
Habari za jioni wanajamii forum, naomba msaada tafadhari.
Nina Laptop yangu aina ya Aspire E1-531, ina tatizo moja huwa ninaitumia kisha ghafla huwa inabadili rangi ya screen na kuwa ya blue inakuwa na error mesegi nyingi ila kwenye raw ya mwishoni huwa inaandika Dumping physical memory na mbele yake huwa kuna asilimia zanapanda zikifika 100 inajirestart na kurudi katika hali yake ya kawaida; Tafadhari naomba mwenye kujua jinsi ya kutatua hili tatizo maana huwa linanisumbua sana nikiwa nafanya kazi zangu.