goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,342
change operation system or repair os its very simple..wataalam wa kompyuta mnisaidie tafadhari, kila nikiwasha laptop yangu inaniletea maneno "startup repair" na inaleta alama flani kama inaload vile chini yake kuna maneno "atempting repairs..."
sasa imechukua muda mrefu sana bila kurudi katika hali yake
kwa mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie kwa ushauri tafadhar kuinusuru mashine yangu
na nikicancel inagoma inaandika operatiom cannot be cancelled
Unatumia pc gan?Ni jinsi gani naweza badili window wakuu coz wakati nanunua laptopo yangu niliwekewa window 7 na nikapewa ziada ya disc ya window 8
Ni windows itakuwa tatizo, ni pm nikusaidiewataalam wa kompyuta mnisaidie tafadhari, kila nikiwasha laptop yangu inaniletea maneno "startup repair" na inaleta alama flani kama inaload vile chini yake kuna maneno "atempting repairs..."
sasa imechukua muda mrefu sana bila kurudi katika hali yake
kwa mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie kwa ushauri tafadhar kuinusuru mashine yangu
na nikicancel inagoma inaandika operatiom cannot be cancelled
Ni pm nikusaidieJinsi ya kubadili window msaada please
fanya window repair kama mdau alivyokueleza achana na swala la kupiga piga window hovyo na siyo Kila tatizo kwenye PC linatatuliwa na kushusha windowinapowaka bonyeza F8 kisha itakuja kama hivi ADVANCED BOOT OPTION
kama ni w7
Nenda kwenye Repair you computer
ikikataa kuwa ktk hali yake ya kawaida badili windows