K kamisha Member Joined Mar 7, 2015 Posts 39 Reaction score 1 Apr 5, 2015 #1 Wadau wenye uzoefu na uelewa plz nisaidieni namna ya kutengeneza chakula bora cha Kware cha wik ya5 nakuendelea ili waweze taga vizuri mfululizo na mayai yenye ubora, naogopa chakula cha dukan, tusaidiane wakongwe,
Wadau wenye uzoefu na uelewa plz nisaidieni namna ya kutengeneza chakula bora cha Kware cha wik ya5 nakuendelea ili waweze taga vizuri mfululizo na mayai yenye ubora, naogopa chakula cha dukan, tusaidiane wakongwe,