KweliKupata wateja si inategemea na hitaji bidhaa na mbinu unayotumia.
$1 kwenye Facebook tangazo huonekana kwa watu 1000 kama sijakosea.
Kwa hiyo fb inaoption ya kuchagua wateja unaowalenga kama vile unataka lioneka kwa kuzingatia umri,jenda,location nk.
Lakini mr kutoka kwenye website alexa niliona wiki iliyopita JamiiForums iliizidi Facebook kwa kuwa na watembeleaji wengi hapa tz kama walengwa ni hapa tz kwa nn usiwekeze nguvu nyingi JF.
View attachment 971781
Top Sites in Tanzania - Alexa
Asante sana mkuuNikupongeze kwa swali lako zuri, kwani inaonesha kwamba umeamua kuwa mjasiriamali katika mtandao.
Anyways, nikijaa katika jibu naomba ujue tu kutangaza biashara yako, iwe redioni, magazetini au hata FB kama unavouliza ina lengo kuu moja ambalo ni kuongeza audience itakayoweza kufikiwa na bidhaa hiyo.
Baada ya kutambua hilo, Je kuna umuhimu gani wa kuongeza audience wako??? Hii inakuongezea probabity za kupata wateja [baada ya conversion stage]
Ili uweze kuwapata hao wateja, itabidi ujue jinsi ya kuaandaa tangazo lako, vitu vya kuzingatia hapo ni kama demographics, psychology ya mteja, mahitaji yake N.K
Hivo ni vema ukaelewa japo hayo machache kabla ya kuandaa tangazo lako.
All the Best.
Asante sana bossMkuu ongeza budget yako maana minimum yatakiwa dola 1 kwa siku, weka walau dola 10. inabidi uwe mjanja pia kwenye kutemgeneza audience yako.
Hakikisha pia unadesign tangazo vizuri ambalo linavuta atention ya mtu.
Billing wanafanya mwisho wa mwezi au kama ukifikia spending limit ambayo umeweka
Let say umeset nikitumia dola 25 niweze kuwekewa billing.
Anza pale pale mdogo mdogo utaemdelea kujifunza vingine
Asante sana daaah ubarikiwe mnoooBinafsi nilianza kutumia budget ya dollar moja kwa Siku inafikia wat u 500-1400
kwa week na bust tangazo Mara tatu au inategema ila najicontol kwa mwezi natumia budget isiyopungua dollar 15-20.
Kwa experience yangu ndogo usitumie budget nyingi kwa mwezi km biashara yako inamtaji chini ya million Moja. Na hata Kama itazidi inabidi ujue kucheza na wakati
vitu vya kuzingatia
1.Aina ya biashara unayofanya ,kuna bidhaa zinasoko zaidi Mfano vipodozi, handbags, accessories za wanawake n.k tafuta biashara amabayo watu wengi kwenye soko inahitajiwa.
2.Bei, bei za bidhaa zako ziwe rafiki kwa mtanzania wa kipato cha Kati .watanzania wengi wanapenda vitu Vizuri lakini cheap. Hapa changa Karata yako vizuri.
Hayo machache tu .niongeza Fb Ads itakusaidia tangazo lako lifikie watu wengi Ila usipokuwa makini utaishia kupata like nyingi sio wateja.
Itakua ni hatua mbaya sana yaani kila mahali watufate watukamue tu?hapana aisee sitokubali kamweNasikia saizi TRA wanaanza kutoza kodi kwa wanaotangaza biashara mitandaoni, swali langu; Watawafikia vipi wale waliopo nje ya Nchi na yanatangaza Facebook, Youtube kupitia Ads,Instagram na mitandao mingine?
Wanasemaje kuhusu makampuni yanayotangaza online na yapo nchi nyingine lakini matangazo yao yanaonekana Tz?
Watayafunga matangazo yao au wataingia mikataba na wamiliki wa Mitandao hiyo ili kupata kodi hiyo moja kwa moja kutoka kwa wangazaji?
Vipi kuhusu wamiliki wa mitandao hiyo, wao hawalipi kodi? Sheria hii inambana mtumiaji tu au na mmiliki? Akitozwa kodi mtanzania na aliye nje ya nchi anatangaza biashara akiwa nchini kwake na tangazo linafika Tanzania kisha linapata wateja wa kitanzania kodi hii itamhusu au ndio atakua huru?
Maswali ni mengi lakini niishie hapo. Mitandaoni kumekuwa kubaya Sana, sheria za mitandao zinafanya kazi yake na TRA inakusanya Kodi.
Hii paragraph ya mwisho SijaelewaBinafsi nilianza kutumia budget ya dollar moja kwa Siku inafikia wat u 500-1400