Msaada kuhusu kujiunga na mafunzo ia ualimu

Msaada kuhusu kujiunga na mafunzo ia ualimu

lushalila

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
282
Reaction score
109
Naomba mwenye kujua sifa za kusoma chuo cha ualimu ngazi ya cheti, kwa matokeo ya GPA, sababu kwenye guide book za nacte hawajafafanua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mwenye kujua sifa za kusoma chuo cha ualimu ngazi ya cheti, kwa matokeo ya GPA, sababu kwenye guide book za nacte hawajafafanua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani ilikuwa inaishia four ya 27 ila nazani waziri wa elimu alibadili, nazani kwa sasa lazima uwe na credit 3 ndo sifa hizo, ila kwa uhakika zaidi piga simu chuo chochote cha Serikali upate information sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yale matokeo ya 4m4 2014.. inatakiwa uwe na G.P.A ya 1.6 kupanda juu...
sijui umeelewa hapo ...!
 
Ninaelewa ila mbona ana credit 3 na ana GPA ya1.3 si ni division three hiyo? Au wanaesabuje mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hana sifa mkuu, hata angekuwa ana gpa ya 1.5.. ualimu ni kuanzia dvs 1-3..
huyo ana four ya 28 kwa matokeo ya division...
mwambie atafute kozi nyngne itakayomatch kwa matokeo yake
 
Back
Top Bottom