Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,485
Aise! Hii thread ina muhusu sana dogo,maana ana wait transfer window hiyo tarehe tano ifunguliwe ili ahamie chuo kikuu huria.Za wakati huu members wote,
Kwa mujibu wa TCU Guide book 2019/20
*5th November to 15th November :Transfer window for first year
*16th November to 30th November : Submission of transfers to TCU
*7th December : Feedback for approved transfers.
NB: Registration ya vyuo vingi inafungwa 2 weeks after the opening date of registration.
Sasa maswali yangu ni kama ifuatavyo.
*hii transfer inafanyika baada ya registration au kabla? Au hutakiwi kufanya registration kwenye chuo unachotaka kuhama.
Unatakiwa kureport chuo gani? Yaani unachotaka kuhama au unachotaka kuhamia?
Je uhamisho unaweza kuathiri mkopo?
Ila tarehe 5 nadhani usajili utakuwa unaendeleaje,Za wakati huu members wote,
Kwa mujibu wa TCU Guide book 2019/20
*5th November to 15th November :Transfer window for first year
*16th November to 30th November : Submission of transfers to TCU
*7th December : Feedback for approved transfers.
NB: Registration ya vyuo vingi inafungwa 2 weeks after the opening date of registration.
Sasa maswali yangu ni kama ifuatavyo.
*hii transfer inafanyika baada ya registration au kabla? Au hutakiwi kufanya registration kwenye chuo unachotaka kuhama.
Unatakiwa kureport chuo gani? Yaani unachotaka kuhama au unachotaka kuhamia?
Je uhamisho unaweza kuathiri mkopo?
Dah MKUU hii kama inanihusu vile VP we ni mwaka wa kwanza?Hapana, kuna uhitaji wa kuhama.Hali ya kiuchumi ndio sababu
Unataka uhamie wap?Hapana, kuna uhitaji wa kuhama.Hali ya kiuchumi ndio sababu
Za wakati huu members wote,
Kwa mujibu wa TCU Guide book 2019/20
*5th November to 15th November :Transfer window for first year
*16th November to 30th November : Submission of transfers to TCU
*7th December : Feedback for approved transfers.
NB: Registration ya vyuo vingi inafungwa 2 weeks after the opening date of registration.
Sasa maswali yangu ni kama ifuatavyo.
*hii transfer inafanyika baada ya registration au kabla? Au hutakiwi kufanya registration kwenye chuo unachotaka kuhama.
Unatakiwa kureport chuo gani? Yaani unachotaka kuhama au unachotaka kuhamia?
Je uhamisho unaweza kuathiri mkopo?
Mimi nikujibu kuhusu hathari za kupata mkopo kwa mwaka huu kama ikitokea umehama chuoMwenye kujua kuhusu hili atueleze
Hii ndio inatumika... Ila sample za barua zinakuwaje mkuuKwa experience yangu kuhama chuo kupo kwa aina mbili:
1. Kwa kipindi changu 2013 wakati naanza chuo uliwezakuhama kwa kwenda moja kwa moja TCU wakakubadilishia kama chuo unachokihitaji kina nafasi na una qulifications
2. Kama umeshafanyiwa registration unakwenda physically chuo unachokihitaji kuhamia unaonana na registration officer kuomba nafasi yy ndio anakuambia kama inawezekana au la kama inawezekana unaandika barua ukiambatanisha sababu za uhamisho then wana process TCU unahama!!
Hivi ndio nilivyokua najua maana mm nilihama kabla ya kureport nilikwenda moja kwa moja TCU wakanibadilishia !!!