nenda kwa mkuu wako wa chuo, kuna form zinatolewa chuoni hapo za kuapeal, utazijaza na evidence za kutosha then unasubmit hapo ulipoelekezwa na mkuu wako baada ya kulipia pesa kidogo, majibu hyatatoka mtandaoni, ukiwa umeongezewa asilimia kadhaa mjulishe mkuu wako wa chuo kwa kuprint hayo majina na kumpelekea