Diallo genius
Member
- Sep 11, 2017
- 80
- 64
Kiukweli passion ni Baed marketing pia napenda lakin sio kwa kiwango cha BAEd.Wewe passion yako ni nini? Na lengo la kusoma BAED ni lipi? BAED na hiyo kozi ya marketing. Ninahisi kozi ya Mareketing ni nzuri zaidi.
Soma ualimu uje mtaani ukae huna ajiraCourses za muhimu
Ualimu
Udaktari
Kilimo
Hayo Mambo mengine unaweza Soma hata Veta inatosha
Acha kumdanganya mwenzio hayo Mabaed yanafaa SanaSoma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisakuliko hizi fani zingine
Asome ualimu wa Kingereza unafaaUtakuja kujuta kasome hayo maBaed
Demand ni ndogo sana fanya utafiti na wigo wa kufika mbali ni mdogo....Asome ualimu wa Kingereza unafaa
Kufika mwaka 2024 ajira nyingi zitamalizwa na maroboti sasa kama umesomea ualimu utafungua shule kama utakuwa na mtaji sasaDemand ni ndogo sana fanya utafiti na wigo wa kufika mbali ni mdogo....
Soma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisakuliko hizi fani zingine
Kujiajiri hakusomewi ndugu ni ujanja wa mhusika tu. Wafanyabiashara maarufu wengi hawajasomea biashara na wengine ni darasa la tatu tuSoma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisakuliko hizi fani zingine
Asome Marketing ili awe dalali?Soma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisakuliko hizi fani zingine
Utasomea ualimu tena wa arts, mbaya zaidi ukute unaishi bongo duuh!Habari Wana JF,
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2022 comb HGL Nime confirm chuo TIA Mbeya kozi ya Bachelor of Marketing and Public Relations lakini naona napenda sana BaED kuliko hii kozi niliyo confirm hivyo nahitaji Ku unconfirm na Ku confirm chuo kingine coz pia nilichaguliwa BAEd.
Hivyo naomba ushauri je ni madhara gani yanaweza yakatokea kwenye mkopo endapo Niki unconfirm.
Na je, naweza kuwa sahihi kuacha BMPR na kwenda BAEd? Kama mtu atapenda kunishauri basi anipe Strength na weakness za kozi zote mbili.
Natanguliza shukrani.
Marketing na udalali wapi na wapi? Udalali kila mtu anaweza kuwa hata wewe ukitaka unaweza kuwa dalali.Asome Marketing ili awe dalali?