Course yoyote soma, ila keep it in mind my friend ni muhimu usiwe mzembe on both schools subject and practices.
Ili uwe na cheti kizuri na ujuzi pia.
Now days kazi zipo chache ila jiandae mapema ukikosa kazi ya kuajiriwa uwe mpango mwingime.
Acha kula pesa za ziada kama mchwa zitakusaidia baadae kama unatokea familia masikini.
Chuo cha kusoma nenda kwenye kokote lakini hivi ndo navyoweza kulishawishi
SUA(shambani), UDSM(jalalani) na UDOM(chuo cha kata).