Bro mm math nilikua siipendi kinyama na physics nilifaulu C necta.
Na toka form one nakimbia mtihan wa math lakin necta form two nilipata A ya physics necta form four nina C ya physics.
Na Advance niliposoma PCB kwa miezi michache kabla ya kuchaguliwa na technical college cha serikali kusomea c.o nilikua nafaulu physics mpk B ila chemistry ndio ilikua ngumu kwangu.