Anselem mathew
Senior Member
- May 17, 2017
- 107
- 66
clincal officer diploma siwez kusoma hapaWapenda habarini za uzima napenda kuomba ushaur juu ya kozi gan ya afya ambayo naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C kiswahili C math F history D
phamarcyHivi cli
clincal officer diploma siwez kusoma hapa
unasoma kabisaHivi cli
clincal officer diploma siwez kusoma hapa
Kozi zote za afya unasomaWapenda habarini za uzima napenda kuomba ushaur juu ya kozi gan ya afya ambayo naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C kiswahili C math F history D
Kwa biology B, chemistry C ,Physics C, English C math F VIP naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali msaada kakaaaunasoma kabisa
Yaan we mpaka leo hujaingia mtandaoni ukaomba, unakuja kuulizauliza hapa..!Kwa biology B, chemistry C ,Physics C, English C math F VIP naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali msaada kakaaa
yap mzee, unasoma kabisa... kama una wasiwasi sana kuna chuo lakini private naweza kukuunganisha.Kwa biology B, chemistry C ,Physics C, English C math F VIP naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali msaada kakaaa
Niunganishe mimi km inawezekana coz nina eng..B civ..C geoC.. histC.. mathD.. phyD.. chemD..kiswD.. biosCyap mzee, unasoma kabisa... kama una wasiwasi sana kuna chuo lakini private naweza kukuunganisha.
Kipi ichoyap mzee, unasoma kabisa... kama una wasiwasi sana kuna chuo lakini private naweza kukuunganisha.
Chemistry imekuangusha mkuu.. Clin. medicine imegoma hapo.Niunganishe mimi km inawezekana coz nina eng..B civ..C geoC.. histC.. mathD.. phyD.. chemD..kiswD.. biosC
Nipe ushaur mkuu maana coz ninayotaka kusoma ni hiyo clinicalChemistry imekuangusha mkuu.. Clin. medicine imegoma hapo.
labda uanze certificte yaani Clinical AssNipe ushaur mkuu maana coz ninayotaka kusoma ni hiyo clinical