Msaada kuhusu kozi ya Doctor of Medicine(MD) pamoja na Doctor of Dental Surgery (DDS)

Kasome hizi kozi utakuja kunishukuru

1. Electrical Car Mechanics
2. Graphics and printing
3. Air-condition Installation course

Achana na makozi yenye mikono ya siasa. Dunia kwasasa inahamia kwenye magari yanayotumia umeme , bongo Hakuna mafundi wa maana nenda kasome usipopiga hela Hadi uzichoke njoo hapa unitukane.

Graphics na printing , hapa pia ukiwa na huu ujuzi hulali njaa.
Umehamisha goli
 
Soma MD reasons:-
1.MD anaweza practice dental ila dentist. hawezi practice MD
2.MD mwili mzima anasoma, dentist ye anadeal na meno tu.
3.MD unaweza fungua hospital ya kutibu kila kitu, dentist ye anaruhusiwa kufungua ya meno tu
4.MD,ina ajira nyingi sana, in both preventive and treatments, dentist utadeal kwenye level ya meno tu
5.MD in future, unaweza kua neurosurgeon, cardiologist, nephrologist etc, dentist we utaishia kwenye meno tu
Faida za MD zipo nyingi sana... Hadi Leo hii bado serikali inalazimisha ajira za MD
Asante sana Nimekuelewa ipasavyo
 
Kasome hizi kozi utakuja kunishukuru

1. Electrical Car Mechanics
2. Graphics and printing
3. Air-condition Installation course

Achana na makozi yenye mikono ya siasa. Dunia kwasasa inahamia kwenye magari yanayotumia umeme , bongo Hakuna mafundi wa maana nenda kasome usipopiga hela Hadi uzichoke njoo hapa unitukane.

Graphics na printing , hapa pia ukiwa na huu ujuzi hulali njaa.
nimekupata boss
 
MD Kwa point hizo anapata kama kumsukuma mlevi. Anaweza asipate muhimbili lakini atapata kwingine, siku hizi vyuo ni vingi vinatoa shahada ya udaktari sio kama zamani muhimbili peke yake. Mwanangu alipata division 2 na anamalizia mwaka wa tano sasa MD.
Umeona matokeo ya mwaka huu?
 
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2020 mchepuo wa PCB Dv. I-8. Nina ndoto za kuja kuwa Daktari. Katika kozi hizo mbili MD na DDS napata wakati mgumu wa kufanya Decision mimi niko flexible kuchukua yoyote sasa naomba kufahamu na kupata ushauri nichukue kozi gani na kwasababu zipi? Phy-C Bio-C Chem-B

Nawasilisha.
Ni vile umeamua MD, au DDS lakini kama ningepata nafasi ya kukubadili maamuzi ningesema uje usome Bpharm mdogo angu
 
Labda unaweza kunipa sababu kunishawishi brother.. niatashukuru
Nop cjasema hvo ili nikubadili saiv wakat ushaamua ufanye nn, its your call kuamua usomee kitu gan lkn these days mambo yamebadilika sana MD's wapo weng just as pharmacist na hapo ndo ujiulze kwa situation hii ktu gan ni better zaid je uwe na chance ya kuajiliwa sehem moja tu au uwe na options za kuajiliwa sahem mbili, mfano pharmacist anaajiliwa kwenye pharmacy au serikalin/binafsi wakat daktar anaajiliwa serikalin/binafsi sijaongelea sana kuhusu kujiajili sababu i know both wanaweza jiajili japokuwa expense za daktari kujiajil ni kubwa zaidi kuliko pharmacist kujiajili

Lastly, kama lengo ni social status nenda MD au DDS lakini kama unataka sana mpunga nenda Bpharm
 
Nashkuru nimekuelewa sanaaaa
 
Back
Top Bottom