Ipo CDTTI MISUNGWI..right?!Ama kweli nyie wote hamjaielewa kama mimi nilivyoshindwa kuelewa mpaka nikaamua kuna kutafuta wajuvi wanieleweshe. Course ni moja inaitwa ordinary diploma in community development and civil engineering
Sasa imenitatiza kuona imeunganika na community development, so mwenye uelewa wowote juu ya hili tafadhari anijuze
Rekebisha heading, ondoa hyo versus...#CD vs Civil..apo una poteza maana..i think soMwenye uelewa wa hiyo course kwa level ya diploma please naomba anifahamishe. Maana sijawahi kuisikia ila hapa mtaani kuna chuo kwa level ya diploma na nataka niombe nafasi
Course yako ipo vizuri unaweza kupiga maana mimi nimegraduate ya COMMUNITY DEVELOPMENT yenyewe Chuo cha BUHARE kipo MARA na uzuri wa hii imemeza sehem nyingi yan ipo wide sana unaweza ukaanza nayo lakn mbeleni ukadecide uingie wapi na niliickia tu juu juu hyo ya COMMUNITY DEVELOPMENT AND CIVIL ENGINEERING iko vizur na ni wide zaid...Mwenye uelewa wa hiyo course kwa level ya diploma please naomba anifahamishe. Maana sijawahi kuisikia ila hapa mtaani kuna chuo kwa level ya diploma na nataka niombe nafasi
Mods hao wamefanya yao mkuu wamaibadilisha walizani na compareRekebisha heading, ondoa hyo versus...#CD vs Civil..apo una poteza maana..i think so
Thanks mkuuCourse yako ipo vizuri unaweza kupiga maana mimi nimegraduate ya COMMUNITY DEVELOPMENT yenyewe Chuo cha BUHARE kipo MARA na uzuri wa hii imemeza sehem nyingi yan ipo wide sana unaweza ukaanza nayo lakn mbeleni ukadecide uingie wapi na niliickia tu juu juu hyo ya COMMUNITY DEVELOPMENT AND CIVIL ENGINEERING iko vizur na ni wide zaid...
Pia hapo @ANTHONYKWEKA ameeleza vizuri zaid kwenye page no2
So mkuu uki graduate unawe,za fanya kazi kama nani labda? Soko lake kwa ajira likojr na pia kweny kujiajiriCourse yako ipo vizuri unaweza kupiga maana mimi nimegraduate ya COMMUNITY DEVELOPMENT yenyewe Chuo cha BUHARE kipo MARA na uzuri wa hii imemeza sehem nyingi yan ipo wide sana unaweza ukaanza nayo lakn mbeleni ukadecide uingie wapi na niliickia tu juu juu hyo ya COMMUNITY DEVELOPMENT AND CIVIL ENGINEERING iko vizur na ni wide zaid...
Pia hapo @ANTHONYKWEKA ameeleza vizuri zaid kwenye page no2
FactSio unasoma kozi Kwa ukubwa Wa jina suala ni je baada ya kusoma ina AJIRA? Mainjinia wanazurura mitaani