Msaada kuhusu kozi ya Community development and Civil engineering

mzee alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
711
Reaction score
264
Mwenye uelewa wa hiyo course kwa level ya diploma please naomba anifahamishe. Maana sijawahi kuisikia ila hapa mtaani kuna chuo kwa level ya diploma na nataka niombe nafasi
 
Ama kweli nyie wote hamjaielewa kama mimi nilivyoshindwa kuelewa mpaka nikaamua kuna kutafuta wajuvi wanieleweshe. Course ni moja inaitwa ordinary diploma in community development and civil engineering
Sasa imenitatiza kuona imeunganika na community development, so mwenye uelewa wowote juu ya hili tafadhari anijuze
 
upo mkoa gani?community development ina ajira sana
 
Hujaelewa nilichoandika.. nimemwambia aachane na hyo kozi ya community development and civil engineering akasome Civil Engineering yenyewe... maana najua hyo kozi anayozungumzia ipo chuo cha Misungwi Mwanza
Acha kulinganisha Civil Engineering na vitu vya kijinga
 
Hujaelewa nilichoandika.. nimemwambia aachane na hyo kozi ya community development and civil engineering akasome Civil Engineering yenyewe... maana najua hyo kozi anayozungumzia ipo chuo cha Misungwi Mwanza
Kwann mkuu unauelewa zaidi na hiyo course, maada wako ni wamuhim sana kwangu
 
Hiyo kozi ya hapo misungwi ni ya ubabaishaji, mambo mengi hawasomi e. g Workshop technology hence inakuwa not marketable
 
Owh, mbona prospectus ya dit na ya apo misungwi hakuna tofauti kuanzia level 5 mkuu?
 
Mwenye uelewa wa hiyo course kwa level ya diploma please naomba anifahamishe. Maana sijawahi kuisikia ila hapa mtaani kuna chuo kwa level ya diploma na nataka niombe nafasi
Inategemea na
1… focus yako.
2..msingi wako kimasomo (Arts, Science au business)
 
Dah bonge la ushaul lakini ningependa nipate uelewa wa hiyo course maana zama za kuchagua kazi zishapita mkuu
 
Kigezo cha focus..
Kama unataka kuwa mtaalamu wa maendeleo jamii kwa ujumla basi COMMUNITY DEVELOPMENT IS THE BEST
kama unataka kuwa engineer yaani Fundi basi CIVIL ENGINEERING IS THE BEST.

kwa kigezo cha msingi
Kama umesoma masomo ya SANAA (ARTS) PURE na BIASHARA basi COMMUNITY DEVELOPMENT is the best
Kama umesoma Masomo yoote yaani (ARTS na SCIENCE=maths, physics. Chemistry, biology, nutrition, Agriculture, ICT, Electrical etc) basi CIVIL ENGINEERING is the best.

Kwa kigezo cha kipato (financial position)
Community development haina gharama kubwa saana kusomea (fee)
Ila engineer kwa kweli ni gharama kubwa zaidi.

Kigezo cha soko la ajira
Community development nafasi zake za kazi ni changamoto kidogo kutokana na wingi wa wahitimu wake na ufinyu wa nafasi zake.
Civil engineering nafasi zake za kazi ni nyiingi mno kutokana na wahitimu wake ni wachache saana
 
Okay . Dope
 
Back
Top Bottom