azimio ernest
Member
- Jun 6, 2017
- 45
- 12
maths f invalid passwordNimemaliza form 4mwaka 2017 nakupata 2 ya 20 MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO ,chemistry C,biology,B, Phisics C,EnglishC,GeographC,kiswahiliC,CivicsC,historyC,MathF je coz ya clinical medicine niki apply naweza chaguliwa?MSAADA
Math apo Ni tatizo wanataka DHapo kwenye hesabu ni msala.. Maana cku hizi wanaangalia sana hiyo..
Anyway clinical medicine huwa wanaangalia physics, biology na chemistry
Kupitiaa nacte ndo HivyoPia jamani nauliza kuusu kua apply je kila chuo na pesa yake ama pesa moja unaa apply vyuo vitano? Msaada