Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
habari zenu wana JF
Bachelor of prosthetics and orthotics. Hii ikoje
asanteni sana wakuu
Bachelor of prosthetics and orthotics. Hii ikoje
asanteni sana wakuu
Ndio niniCc. Mshana Jr
kwahyo unasomea kuhusu kuwaweka watu waliokatika viungo km mkono nkInahusiana na viungo bandia mkuu.
Hata mimi nimeiomba mkuu -kc003
Yeskwahyo unasomea kuhusu kuwaweka watu waliokatika viungo km mkono nk
ajira yake ipojee lakini
Kwa kifupi ni kozi inayo deal na utengenezaji wa viungo bandia vya binadamuTujuzane wakuu kuhusu hyo kitu kwa undani
You know not!Kiajira ni shida mana Hospitali zenye vifaa vya kutengeneza viungo bandia ni muimbili na kcmc
Kama umechaguliwa mshukuru mungu!! Umeshawahi jiuliza wangapi wanaanguka na boda boda na kwenye ajali mbali mbali??? Umejiuliza wangapi wanazaliwa wana disorders za viungo??? Je nan anaweza wasaidia hawa watu????Vp upatikanaji wa ajira zake hapa nchini mkuu kwa miaka ya hivi karibuni
Ndivyo alivyosema ndalichako means tests.jaman hii coz nayo ina mkopo asilimia mia na je kwa mwaka huu naskia mikopo inatolewa kwa means tested hata wale wa md pharmas nao n means tested