BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Habari wana jukwaa hili, ni jambo la heri kuona watu wanasaidiana kupeana mawazo ya kitabibu ili walio na matatizo kiafya wapate kupona ama kuchukua hatua madhubuti ili wawe na afya njema.
Najua kuna madokta humu na watu wa afya mbalimbali na wenye uelewa kuhusu mambo ya afya.
Napenda kujua kipimo cha full blood picture je unaweza kuona malaria ndani? Na nini hasa maana ya kipimo cha full blood picture na inatumika kupima haswa nini.
Asante.