Nenda TMJ hospital pale mikocheni, last year nilimpeleka ndugu yng pale, cost ilikuwa laki 6Msaada wenu wakuu,
Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa.
Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda.
Natanguliza shukrani.