zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
acha kuchafua biashara za watu, kwani ulinunua kwetu, ulipokuwa unanunua si uliambiwa na namba za siku kupiga unapopata tatizo, mbona zinapatikana vizuri kabisa na hazina tatizo?kwako tu mzee?haukupewa maelekezo, unafikiri maelekezo uliyopewa yatakuwa tofauti ya yale utakayoambiwa na wengine, unachofanya si kizuri..acha kabisa.

username yako na maneno yako ni tofauti sana! Hata hivyo nashukuru kwa USHAURI wako nitaufanyia kazi. pia nisamehe sitarudia tena mpendwa Mungu akubariki sana na akuwezeshe!
Mkuu, ujue katika karibu kila jambo utapambana na negative talkers! Usamehewe kwa lipi? Hutarudia kwani umekosa nini? Nadhani hujakosea kwa hiyo rudia tena na tena kuuliza na wapo watu wazuri sana sana humu katika JF watakusaidia!
acha kuchafua biashara za watu, kwani ulinunua kwetu, ulipokuwa unanunua si uliambiwa na namba za siku kupiga unapopata tatizo, mbona zinapatikana vizuri kabisa na hazina tatizo?kwako tu mzee?haukupewa maelekezo, unafikiri maelekezo uliyopewa yatakuwa tofauti ya yale utakayoambiwa na wengine, unachofanya si kizuri..acha kabisa.
Ndg yangu! Bila shaka hata nao wameungana na baadhi ya vi2 feki toka China visivyo ktk viwango na hata hvy TBS wa hajaijali hilo. Nilikuwa na mpng wa kununua ila stk tn.Wakuu jana nilinunua king'amuzi cha TING, nimejaribu kuki-set lakini napata vizuri station moja tu: ATN, nyingine mbili tatu za nje ziko kwenye mnato tu. Kama kuna mwana JF anayetumia king'amuzi cha TING anisaidie!
Nikweli mkuu! Maneno aliyoyatoa ni tofaiuti na Utumishi wa BWANA!.username yako na maneno yako ni tofauti sana! Hata hivyo nashukuru kwa USHAURI wako nitaufanyia kazi. pia nisamehe sitarudia tena mpendwa Mungu akubariki sana na akuwezeshe!
Mkuu Soki, nilitaka kumuonyesha tu kuwa mimi ni muungwana. Nimeomba anisamehe na pia sitorudia tena, maana aliniambia: ........"acha kabisa"
Mkuu Soki, nilitaka kumuonyesha tu kuwa mimi ni muungwana. Nimeomba anisamehe na pia sitorudia tena, maana aliniambia: ........"acha kabisa"
kaka niko interested na hiki king'amuzi cha ting kinapatikana wapi, bei ganikaka sasa hivi hao jamaa wa ting wanafunga software mpya wanataka kuingiza channel mpya 42 nakumbuka niliponunua ile dec walisema na ESPN itakuwepo sasa tusubiri, ila sasa hivi kamanda nakula bata mno maana uki search unapata tv za Kenya Uganda za uarabuni kibao za movie Dubai sports one na two hawa wanaonesha bundesliga Live so nilifaidi sana weekend hii Borrusia dortmund na Bayern Munich, unapata TBC CNN BBC moja kwa moja ila wakishafunga software hiyo mpyaa huo uroda waote utakwisha watarudi kwenye hali yao ya kawaida na malipo yatakuwa elfu kumi na tano kwa mwezi