Unauza bei gani?Ni micro controller iliyorahisishwa , unachomeka kwa pc una ingiza code mchezo umeisha amna 'hassle' za kupasua kichwa, wale wavivu wa kusoma programming ndo hukimbilia izi arduino.
Nicheki pm kama unataka nnazo nyingi tu, Uno + Nano na cable zake