Msaada kuhusu karate teacher/training center

Msaada kuhusu karate teacher/training center

Dj Lubega

Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
30
Reaction score
7
Habarini wana jamii, naishi magomeni kanisani natafuta mwalimu wa kunifundisha karate au sehemu mafunzo yanapotolewa, iwe mitaa ya magomeni au kinondoni. Ahsante
 
nenda buguruni mkabala na kituo cha rozana kuna kituo kikubwa cha kufunza hako kamchezo ka hatarihatari
 
Sema huhaaaaa masterr
mi ntakuwa nkufundisha online
upo tayari?
 
mkuu kuna mtu anakuibia mke au umeoa mke mrembo so unataka kujihami
 
Hamia Ukerewe kuna chuo cha karate kwa waislamu lakini,kama ni kafir sahau
 
We ni Mwandishi wa Habari kwani?
 
Unajiandaa kulinda kura 2014 kwenye chaguzi za mitaa????
Njoo ntakupa training, ila inabidi ujifunze kwanza kichina alafu unyoe kipala shaoolin kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom