Uko wapi Ndugu.? Sisi ni AGEnergies tuko Mbeya mjini. Tunakufungia popote ulipo Kusini mwa Tanzania.Nawasalimu wanajamvi. Habarini za mapumziko ya Jumamosi.
Niende kwenye mada. Kwa wajuzi na wataalamu wa aina ama kampuni Bora za Sola.
Tunafahamu kuwa kuna sehemu/vijiji ambavyo bado umeme wa REA haujafika. Hivyo nahitaji kwenda kumfungia umeme wa sola mama yangu. Mwenye ufahamu juu hili tafadhali naomba msaada wa maelekezo.
Asante🙏
Toa gharama za sola zenu .Uko wapi Ndugu.? Sisi ni AGEnergies tuko Mbeya mjini. Tunakufungia popote ulipo Kusini mwa Tanzania.
Bei zetu ni nafuu sana. Njoo Inbox nikupe namba ya Operation Officer muwasilianeToa gharama za sola zenu .
Uwezo wa solar mlizonazo .
Then gharama za ufundi na warranty
Kifupi neseme nahitaji kujua aina gani Bora za Sola kwa ajili ya kufunga kwa mama yangu.Unataka ufunge wewe au wewe utoe pesa kazi ifanyike na wanaojua
Jamaa yangu umenisaidia sana kwa maswali haya.Toa gharama za sola zenu .
Uwezo wa solar mlizonazo .
Then gharama za ufundi na warranty
Sante 🙏Chukua solar kampuni ya Sundar hutojuta, mwaka wa nane huu haijanisumbua.
upo mkoa gani mkuuKifupi neseme nahitaji kujua aina gani Bora za Sola kwa ajili ya kufunga kwa mama yangu.
Kama nitapata ea kumifungia itakuwa vyema pia.
Karibu.
Twende hapa hapa ndugu .Bei zetu ni nafuu sana. Njoo Inbox nikupe namba ya Operation Officer muwasiliane
Chukua solar kampuni ya Sundar hutojuta, mwaka wa nane huu haijanisumbua.
Kwa hio namba zake mnapeana inbox^_😁Bei zetu ni nafuu sana. Njoo Inbox nikupe namba ya Operation Officer muwasiliane
Sawa, Ila hiyo si kampuni? Kwa nini mawasiliano inbox, Kama Kuna wateja wanahitaji? Biashara matangazo.Bei zetu ni nafuu sana. Njoo Inbox nikupe namba ya Operation Officer muwasiliane
Asante.Kweli jamaa wapo vizuri sana ,pannel zao(Mono) hata kama kuna mvua battery zinajaa fresh tu.
Pannel anunue Sundar
Battery Rittar/Sundar
Cable ya 10mm anunue Original(haziathiriki na jua).
CHarger COntroller nunua zile zenye mabati kwa nyuma(cooling).
Ndugu OP(Mtoa mada) Weka matumizi yako tukushauri vizuri.
Wewe ndiye utatusaidia ndugu .Kweli jamaa wapo vizuri sana ,pannel zao(Mono) hata kama kuna mvua battery zinajaa fresh tu.
Pannel anunue Sundar
Battery Rittar/Sundar
Cable ya 10mm anunue Original(haziathiriki na jua).
CHarger COntroller nunua zile zenye mabati kwa nyuma(cooling).
Ndugu OP(Mtoa mada) Weka matumizi yako tukushauri vizuri.
TV na Friji ungefanya namna kutafuta zile zinazo support DC, najua zipoTV, friji
Asante kwa ushauri.TV na Friji ungefanya namna kutafuta zile zinazo support DC, najua zipo
hapa utakwepa gharama za kibei na upotevu wa umeme kwa Inverter
Wewe ndiye utatusaidia ndugu .
Je solar yenye uwezo wa kuwasha Tv na accessories kama friji na makololo madogo ya umeme ni whatt ngapi ? Na gharama yake ikoje ?
Je hao Sundar wanakufungia kwa gharama kiasi gani ?