Kiufupi hakuna anachoweza fanya kwenye Hilo ila anaweza kukaanayo kama urembo. Iphone 5 na kuendelea wameziprotect na iCloud for security reasons. Pia huwa nawashangaa watu wanaonunua iCloud locked iPhones hata kwa bei rahisi kiasi gani! Pole bro labda endelea kuitunza mpaka itakapokia toleo la iPhone 10s wanaweza release hizo zilizolokiwa!!!!