B brill anwary Member Joined Sep 25, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Nov 20, 2014 #1 nimeletewa iphones kutoka sweden, bt nimejaribu kuweka laini za tz zimekataa kusoma mtandao. tatizo ni nini, na nini ni tiba yake?
nimeletewa iphones kutoka sweden, bt nimejaribu kuweka laini za tz zimekataa kusoma mtandao. tatizo ni nini, na nini ni tiba yake?
T Tegwa Investment Member Joined Nov 14, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Nov 21, 2014 #2 Nenda kwa mafundi wa sim wataifanyia code changes but pesa ndefu kidogo kwa hali ya bongo na kushauri angalia price ya simu na gharama ya code changes
Nenda kwa mafundi wa sim wataifanyia code changes but pesa ndefu kidogo kwa hali ya bongo na kushauri angalia price ya simu na gharama ya code changes
B brill anwary Member Joined Sep 25, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Nov 21, 2014 Thread starter #3 thanks kwa ushauri. ngoja nikaulizie