Msaada kuhusu interview za utumishi upande wa fundi sanifu umeme(ELECTRICAL TECHNICIAN)

charlesfundi

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
200
253
Habari zenu ndugu zangu poleni na majukumu nilikua naomba kufahamu interview za written zinakuaje utumishi upande wa electrical technician ikiwezekana na baadhi ya maswali ambayo huulizwa natanguliza shukurani.
 
Ni Darasani mkuu soma core topics zile mengine watakuelekeza wahusika wa hiyo kozi.
 
Hii ilikua kitambo mzee ila pia hizi za Tpdc nimeitwa
Mungu akutangulie ukipata hapo tpdc ni pazuri sana
Angalia kwenye maeneo ya measurements and instrumentation ,Generator&Alternators ,Motor ,automation kidogo ,plc ,power factor ,domestic wiring pia kidogo sio mbaya ,Transformer ,power protection na Masuala ya maintainance

Ukiwa na basics za hayo maeneo nina imani utakuwa vizuri

All the best
 
Back
Top Bottom