Nimeangalia kwenye website kuna drivers mbili full driver set, na basic driver umejaribu zote?Hp laserjet pro mfp m125nw .. ila chief nimepata cd yake ya driver pia inaleta error ile ile , au kabla ya kuinstall kuna taratibu zakufuata mbali na maelekezo ,, alafu Computer zote zilikuwa zishafanyiwa installation ya printer baada ya window kuzingua tuka-uninstall printer ndo zikakataa kuinstall tena mpk cha leo , printer ni ya mwaka 2015 .. msaada wako Chief-Mkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo tulipiga window sema nikipiga window natick✓ keep application,files kwa hiyo hakuna ninachofuta ..Nimeangalia kwenye website kuna drivers mbili full driver set, na basic driver umejaribu zote?
Na toka mu uninstall hizo driver mulipiga window?
https://ftp.hp.com/pub/softlib/software13/printers/LES/M125/LJPro_MFP_M125-126_basic_15309.exeFull driver nimejaribu, kuhusu basic driver sijajaribu nisaidie link
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ni hio image sio all in one, kwanini usitengeneze cd ama bootable flash toka website yao wenyewe microsoft?CHIEF MKWAWA mkuu kwema kuna pc yangu nimepiga windows 10 yenye all version ya 64bit tatizo ainipi option ya kuchagua inaenda direct kwenye windows 10 home nawezaje kubadili kuja win 10 pro
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwanini asitumie hii hapaLabda ni hio image sio all in one, kwanini usitengeneze cd ama bootable flash toka website yao wenyewe microsoft?
Tumia Media Creatol ToolsCHIEF MKWAWA mkuu kwema kuna pc yangu nimepiga windows 10 yenye all version ya 64bit tatizo ainipi option ya kuchagua inaenda direct kwenye windows 10 home nawezaje kubadili kuja win 10 pro
Sent from my iPhone using JamiiForums
ndio njia hii nilimwambia, sema anatakiwa aanze mwanzo ili achague mwenyewe anachokitakaMkuu kwanini asitumie hii hapa
WINDOW 10 BITS 64...
https://software-download.microsoft...1585507983&h=b62ad09fee9112665f6b8a5768ccc706 au hii hapa
WINDOW 10 BITS 32
https://software-download.microsoft...1585507983&h=f157c9e721152bab2b7680cc0931b6a9
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu maana nami nilitumia media creatol ilileta option ya window 10 matoleo yote .. mie natumia 10 pro , vp chief naweza kufanya activation without key .?ndio njia hii nilimwambia, sema anatakiwa aanze mwanzo ili achague mwenyewe anachokitaka
mkuu hii win 10 ni kama bure tu, ukiokoteza tu key yoyote hata ya win 7 ama 8 inakubali kama laptop yako ina sticker ya windows tumia hio. pia ukidakwa wanatoa tu uwezo wa kubadili walpaper ila unatumia vizuri tu.Sawa Mkuu maana nami nilitumia media creatol ilileta option ya window 10 matoleo yote .. mie natumia 10 pro , vp chief naweza kufanya activation without key .?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimedowload toka official website yao nanikijarbu kupiga pc ingine inakubali ya kwangu tu ndo inakataa sijui shida itakuwa ni nnLabda ni hio image sio all in one, kwanini usitengeneze cd ama bootable flash toka website yao wenyewe microsoft?
nilidownload kwenye iyo iyo link mkuu na nikipiga iyo windows kwenye pc ingine inanipa option zakuchaguaMkuu kwanini asitumie hii hapa
WINDOW 10 BITS 64...
https://software-download.microsoft...1585507983&h=b62ad09fee9112665f6b8a5768ccc706 au hii hapa
WINDOW 10 BITS 32
https://software-download.microsoft...1585507983&h=f157c9e721152bab2b7680cc0931b6a9
Sent using Jamii Forums mobile app
nilidownload kwenye iyo iyo link mkuu na nikipiga iyo windows kwenye pc ingine inanipa option zakuchaguaMkuu kwanini asitumie hii hapa
WINDOW 10 BITS 64...
https://software-download.microsoft...1585507983&h=b62ad09fee9112665f6b8a5768ccc706 au hii hapa
WINDOW 10 BITS 32
https://software-download.microsoft...1585507983&h=f157c9e721152bab2b7680cc0931b6a9
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu nitajaribu leo nitaleta mrejesho
sawa mkuu nitajaribu leo nitaleta mrejesho
Haya jaribu unipe feedbacksawa mkuu nitajaribu leo nitaleta mrejesho