becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 744
- 982
1. windows 10 education ni ya kisasa zaidi kuliko pro, ni equivalent ya ultimate ama enterprise edition.Habari wakuu, natumia PC HP probook g2 430, nilivyonunua ilikua na window 10 pro, sasa baada ya matumizi nikajikuta wakati nilikua badilisha window,nikiri wakat naistall nilikua nachomeka tu booted flash then run, bila kuformat disk, tatizo linakuja kipindi hiki kila wakati nikipga window inaniletea window 10 education imenifanyia kama Mara nne hivi, na Mimi nahitaji window 10 pro. Naomba mnifahamishe tatizo linaweza kua nini?
Na nifanye nini niweze pata window 10 pro. Huwa nasikia kuna baadhi ya laptop wanakupa selection uchague window gani unahitaji ila yangu hii siipati hilo chaguo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei inafika laki mbili , kwa kuwa uko dsm utapata, ngoja waje wadau.wadau ni wapi naweza kupata cd ya window 10 orgrn mpya kabisa na garama zake zinakuwa sh.ngapi? mm nipo dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Windows 10 original utaipata link ya hapo juu,wadau ni wapi naweza kupata cd ya window 10 orgrn mpya kabisa na garama zake zinakuwa sh.ngapi? mm nipo dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia link hio hio, hakuna anaetengeza windows tofauti na microsoft.
Naomba msaada wako Chief-Mkwawa mie nimefanya installation ya window 8.1 nikainstall printer [emoji2774] Laserjet Pro MFP M125nw lakini ikafeli na inaleta error ile ile moja , nikabadili kutoka window 8.1 kwenda window 10 lakini vyote nimefail.. kama unamsaada nisaidie Mkuu . Au km kuna process naomba unijuze maana hii laptop ilikuwa na hiyo printer lkn kwa sasa haina .. na hazisomi..Tumia link hio hio, hakuna anaetengeza windows tofauti na microsoft.
https://www.microsoft.com/en-tz/p/w...cid=Cat-Windows-mosaic_linknav-Home-092016-SG
Dola 200 around laki 5
Hio driver unatumia cd am umedownload site ya HP?Naomba msaada wako Chief-Mkwawa mie nimefanya installation ya window 8.1 nikainstall printer [emoji2774] Laserjet Pro MFP M125nw lakini ikafeli na inaleta error ile ile moja , nikabadili kutoka window 8.1 kwenda window 10 lakini vyote nimefail.. kama unamsaada nisaidie Mkuu . Au km kuna process naomba unijuze maana hii laptop ilikuwa na hiyo printer lkn kwa sasa haina .. na hazisomi..
NAOMBA MSAADA WAKO.View attachment 1386490View attachment 1386491
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimedownload site zaoHio driver unatumia cd am umedownload site ya HP?
Jaribu ku run kwa compability mode ya win 7?
Jaribu kudownload version nyengine ya nyuma?@Chuef-Mkwawa Nimejaribu kurun kwa compability mode ya win 7 lakini nashangaa tatizo bado liko pale pale .. Hata nikirestart na kuinstall upya mambo ni yale yale ...
Naomba Msaada Wako Wa Kina Maana Kila Nikiumiza Kichwa Nafeli Mkuu Wangu.View attachment 1389867View attachment 1389868View attachment 1389869View attachment 1389870View attachment 1389871
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ntaipataje version nyingineJaribu kudownload version nyengine ya nyuma?
Kwenye website yao hp? Unaweza andika hapa full model ya printer?
Hp laserjet pro mfp m125nw .. ila chief nimepata cd yake ya driver pia inaleta error ile ile , au kabla ya kuinstall kuna taratibu zakufuata mbali na maelekezo ,, alafu Computer zote zilikuwa zishafanyiwa installation ya printer baada ya window kuzingua tuka-uninstall printer ndo zikakataa kuinstall tena mpk cha leo , printer ni ya mwaka 2015 .. msaada wako Chief-MkwawaKwenye website yao hp? Unaweza andika hapa full model ya printer?
Jaribu kuingia www.getintopc.com. Hapa unapata softwares karibu zote free of charge. Feedback please@Chuef-Mkwawa Nimejaribu kurun kwa compability mode ya win 7 lakini nashangaa tatizo bado liko pale pale .. Hata nikirestart na kuinstall upya mambo ni yale yale ...
Naomba Msaada Wako Wa Kina Maana Kila Nikiumiza Kichwa Nafeli Mkuu Wangu.View attachment 1389867View attachment 1389868View attachment 1389869View attachment 1389870View attachment 1389871
Sent using Jamii Forums mobile app