Wadau nimeanza mradi wa kutotolesha vifaranga wa kienyeji kwa kutumia incubator ya umeme lakini hii kitu Tanesco wamenifanyia sitasahau maishani! Nadhani mmenielewa. Naomba kama kuna incubators zinazotumia mafuta ya taa au nishati nyingine nijulishwe.
labda za gesi, mkuu sasa hivi kifaa chochote kinachotemea umemem na ambacho ni sensive, hakikisha una generator au solar pemben, vinginevyo Tutakuaja kukupa pole ukiwa umelazwaMOI kwa presha.