msaada kuhusu huawei y300

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,450
Reaction score
2,683
natumain mu wazima ndugu zangu wataalam wa android...mwenzenu ninaomba msaada wa kujua kama kuna njia au application yeyote ambayo itaninipa option yaku switch network niitakayo hasa 3g only..???maana hiz simu hazina option hiyo hii inaniwea vigumu hasa sehemu zenye network ya 3g low inajiswitch auto kwenye e,wakati eneo hilohilo mtu mwenye simu yenye option ya 3g only inafanya poa...Msaada wenu wataalam
 
Mm ninayo na ina 3g utundu unaitajika
 
utundu gani mkuu 3g ipo ishu kwenye kuiswitch iwe only
 
Nenda settings kisha mobile networks kisha utachagua utumie 2g only u save power au 3g
Kama nimelielewa vzr swali hayo ndo majibu
 
unamaanisha ina 3g prefered na 2g prefered na sio 3g only na 2g only.

tumia hii ussd code

*#*#4636#*#*
 
shida yangu niwe naweza kuweka 3g only s'tymes..hii option haipo kwenye hii simu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…