msaada kuhusu huawei y210

Ramid

Member
Mar 1, 2013
55
95
naomben msaada wenu kuhusu hy simu kwenye kudownload application na video. najaribu kudownload app mbali mbali bt smtyme ninaambiwa insufcience memry while natumia sd card yeny free space more than 1gb. app zngne baada ya kumaliza kudownloa zinagoma kuinstall na ninapa ujumbe unaosema "couldnt install on usb storage or sd card". n kama nkidown load video haziplay. cjaelew tatz n nn. app ambazo zimekubali n watapp, us browser,oper mn na instagrm. plz help
 

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,330
2,000
Tatizo kama la simu yangu mwenye kujua suluhisho tusaidien.
 

Kaparo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
1,648
2,000
Tatizo kama la simu yangu mwenye kujua suluhisho tusaidien.

Hizo simu za Huawei Ascend y 210,220 zinatumia chip ya mediatek.
Baadhi ya simu zinazotumia mediatek zina corrupt sana pamoja na kustack hivyo basi si vema ukaweka apps nyingi jambo ambalo hufanya simu zenye RAM ndogo kama hizo na ukiangalia na chip yake ilivyo ni shida.
Ushauri,=====>Weka apps chache ambazo unazitumia.
====>Jaribu kuamisha hizo apps ziwe katika removable sd card.
=====>Pia apps hata kama ziko kwenye sd card huwa zinachukua nafasi fulani katika simu.
Hivyo basi vumilia hali ama nunua simu nyingine!
kama huwezi jaribu rooting.Maelezo yake soma https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/588218-android-phone-without-root-acess-is-like-an-african-woman-not-bearing-children.html
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom