Uzuri ni kuwa hizi simu clone zake hazijaingia kwa wingi hapa Tanzania kama simu nyingine kama samsung, clone zilizopo hata mtoto mdogo anaweza kuing'amua. kama upo Dar ni vizuri ukaenda pale maduka ya simu ya posta ingawa gharama zao zipo juu lakini unapata kitu original cha uhakika bila kuuliza kama ni clone au original